mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Nenda moja kwa moja kwenye ofisi zao mitaa ya capripointMode of application
kwhy walio mbali na mwanza imekula kwaoNenda moja kwa moja kwenye ofisi zao mitaa ya capripoint
Nikusaidiaje labda kampuni ikufate kwenu?? Kama unataka kazi fika mwanzakwhy walio mbali na mwanza imekula kwao
Ww kwani upo g4s mgodini? Mgodini bata mkuu unakula bure kufuliwa nkKaribuni Ila mmmmh ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze
Acha dharau mshikaji watu wanataka details za kueleweka kwani nijuavyo g4s sio kampuni ya kihuni huni tu, lazima kama kuna kazi tangazo litakuwa official display on the board, sasa unapoleta tangazo kienyeji hivi unakosea JF ni sehemu ya watu makini... Ni hayo tu.Nikusaidiaje labda kampuni ikufate kwenu?? Kama unataka kazi fika mwanza
Oya mkuu hii ni app gani unayotumia?Hii ndo kazi pekee walioitangaza G4S sasa sijui mleta mada kaokota wapi hiyo habari yake
View attachment 509591View attachment 509593
Halafu kakimbiaAcha dharau mshikaji watu wanataka details za kueleweka kwani nijuavyo g4s sio kampuni ya kihuni huni tu, lazima kama kuna kazi tangazo litakuwa official display on the board, sasa unapoleta tangazo kienyeji hivi unakosea JF ni sehemu ya watu makini... Ni hayo tu.
sio App mkuu hiyo ni web yao hao jamaaOya mkuu hii ni app gani unayotumia?
Poa mkuusio App mkuu hiyo ni web yao hao jamaa