Nafasi za field practical mwezi 7

Mr. Masasi

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
53
Reaction score
4
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project planing,management and comunity development
 
Mkuu hii ungepeleka jukwaa la Elimu utapata msaada..karibu sana
 
Utafanikiwa tu mdogo wangu.Vinginevyo karibu jamvini.
 
Ningekushauri uende ulikopangiwa serengeti si pabaya ..vumilia umbali sio shida..
 
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project planing,management and comunity development

Mr. Masasi
Karibu sana, lakini pia naomba nikuambie kuwa mimi umenisikitisha sana kwa kuwa na mawazo ya kukataa kwenda sehemu ya nchi yako eti kwa sababu ni mbali, yaani hata sikuelewi.

Wewe kijana unasoma '' project planing,management and comunity development '' , nadhani hii ndio ilikuwa sehemu nzuri ya wewe kwenda na kuangalia namna ambavyo community zetu zilivyo na wewe kuweza kuona ni namna gani uliyofundishwa unaweza kuya apply practically na kuandika report nzuri sana.

Sasa unataka nani aende huko, OK, je mfano ungeambiwa kuwa Mr. Masasi umepata nafasi ya field lets says London , Uingereza bado ungeona mbali? je hapo Serengeti na London wapi mbali kutoka UDOM.

Hii ndio tabia ya vijana tulio nao, kutaka kurahisisha mambo, kwanini usiende na ukifika ukawaambia challege ulizonazo, unataka uje Dar, kusudi uende Billicanas?

Kama kweli wewe ni Mtanzania na unajivunia nchi yako, na u Mzalendo nenda Serengeti naamini ukiwaeleza watakupatia mahitaji yako yote na wewe kufanya field vizuri. Afterall unalipwa kwa pesa yetu kwa kwenda huko .

Naamini utakuja huku Serengeti na unitafute.
 

Ushauri mzuri sana huu,Nenda serengeti mkuu hasa ukichukulia umeshapata na mwenyeji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…