Nafasi za ajira kwa wasichana

Nafasi za ajira kwa wasichana

DilmaLine

Member
Joined
May 21, 2019
Posts
11
Reaction score
13
Wanahitajika mabinti wa kufanya usafi kwenye shirika. Umri usizidi miaka 30. Lazima awe mkazi wa Manispaa ya Morogoro. Kwa maelezo zaidi piga au tuma meseji 0652 626 342
 
Umri, serikalini Ajira mwisho miaka 45, ukitaka wenye uzoefu kuna shilika walipunguza wafanyakazi wa usafi, nikuelekezee pm.
 
Back
Top Bottom