Batandwa Financials
Member
- Dec 12, 2019
- 9
- 7
Batandwa Company Limited T/A Batandwa Financial Services ni kampuni mpya itakayohusika na utoaji wa huduma ndogondogo katika daraja la pili kulingana na sheria mpya ya asasi ndogondogo za kifedha ya mwaka 2018.
Tunapenda kutangaza nafasi za kazi kwa ajili ya maafisa mikopo wanne (4) kwa ofisi yetu ya Dar.
Sifa za Mwombaji:
1. Awe na shahada au diploma katika fani yoyote
2. Awe na uzoefu na kazi ya uafisa mikopo angalau miaka miwili
3. Awe mkazi wa Dar es Salaam
4. Awe na moyo (passion) ya kufanya kazi hii
5. Awe na mtazamo (attitude) sahihi kwa kazi hii
6. Aliyewahi kutumia mfumo wa Finance Solution ana fursa zaidi
7. Umri usizidi miaka 35.
Maombi yatumwe kwa email: batandwafinancials@gmail.com kabla ya 22rd Desemba 2019.