Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 13, 2014 #1 Wadau chuo kikuu cha sokoine mbona nafasi za administrators hawaiti tangu tuombe mwaka jana? Kama kuna mwenye tetesi atujuze.
Wadau chuo kikuu cha sokoine mbona nafasi za administrators hawaiti tangu tuombe mwaka jana? Kama kuna mwenye tetesi atujuze.
T tha baptist Member Joined Dec 3, 2012 Posts 16 Reaction score 0 Apr 13, 2014 #2 Duu! kaka kama hujapigiwa cm pole interview tunaenda kufanya kesho tarehe 14 April written na oral itakuwa tarehe 15 April walinipigia simu alhamis!
Duu! kaka kama hujapigiwa cm pole interview tunaenda kufanya kesho tarehe 14 April written na oral itakuwa tarehe 15 April walinipigia simu alhamis!
Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 14, 2014 Thread starter #3 ok, all the best.
Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 14, 2014 Thread starter #4 mtihani ulikuwaje wadau mliobahatika?
Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 14, 2014 Thread starter #5 Jamani kuna ambaye keshapigiwa simu kwa usaili wa mahojiano(oral interview) kwa kada ya human resource baada ya usaili wa kuandika wa leo? Taarifa tafadhali....
Jamani kuna ambaye keshapigiwa simu kwa usaili wa mahojiano(oral interview) kwa kada ya human resource baada ya usaili wa kuandika wa leo? Taarifa tafadhali....
T tha baptist Member Joined Dec 3, 2012 Posts 16 Reaction score 0 Apr 14, 2014 #6 mtihan wa kawaida sema kuna maswali mengine walikaza sana. Tulikuwa 11 tu na post ipo 1 so tunasubr simu kwa ajili ya Oral
mtihan wa kawaida sema kuna maswali mengine walikaza sana. Tulikuwa 11 tu na post ipo 1 so tunasubr simu kwa ajili ya Oral
Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 15, 2014 Thread starter #7 duh, hapo utata aisee. Mmoja katika kumi na moja. poa ni dua tu hapo.
Mzee Mpili Member Joined Apr 2, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Apr 15, 2014 Thread starter #8 simu tayari au bado?
T tha baptist Member Joined Dec 3, 2012 Posts 16 Reaction score 0 Apr 15, 2014 #9 Nadhani simu bado ntakupa taarifa Mzee Mpili