ALISTIDES AUGUSTINE
Member
- Oct 4, 2013
- 5
- 0
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza bachelar degree katika masomo ya geography na history kutoka udsm 2013/14 hivyo nko tiari kupiga kazi kama mwl no 0767241051/0689959603
duh hawa c ndio wanaxema ukisoma udsm ndo kila k2,leo una2andikia bachelar degree!!! ndo nn me cjakuelewa nahc hta ukiwa mwalim utakuwa huelewek
duh hawa c ndio wanaxema ukisoma udsm ndo kila k2,leo una2andikia bachelar degree!!! ndo nn me cjakuelewa nahc hta ukiwa mwalim utakuwa huelewek
Yaani! Naichukia sana hiyo lugha ya kutumia "x"
Yaani! Naichukia sana hiyo lugha ya kutumia "x"
"C = si"duh hawa c ndio wanaxema ukisoma udsm ndo kila k2,leo una2andikia bachelar degree!!! ndo nn me cjakuelewa nahc hta ukiwa mwalim utakuwa huelewek
"C = si"
"Wanaxema = wanasema"
"K2 = kitu"
"Una2andikia = unatuandikia"
"Nn = nini"
"Me = mimi"
"Cjakuelewa = sijakuelewa"
"Nahc = nahisi
"Hta = hata"
"Mwalim = mwalimu"
"Huelewek = hueleweki"
Wewe ndo kilaza zaidi ya mwenzako.
N.b: Toa kwanza kibanzi ndani ya mboni yako kabla ya kumgeukia jirani yako.