Nafasi ya Mwanamke na Mwanaume katika Soko la Ajira

regnaldshirima

Senior Member
Aug 18, 2014
124
78
Kutokana na hali ya soko la ajira nchini kumekua na ubaguzi wa kijinsia katika soko la ajira huku wengine wakisisitiza jinsia fulani ndio wanahitajika pekee pasipo kuangalia Elimu,Sifa na Uzoefu.

Inaaminika Wanawake hasa warembo wasio na sifa ama Elimu wana nafasi Kubwa zaidi katika Kupata ajira ukilinganishwa na vijana wakiume wenye Elimu na sifa zinazostahili, Huku kukiwa na neno "KIPAUMBELE" likiusishwa katika Taasisi fulani.

Baadhi ya Taasisi zinahitaji watumishi wenye uzoefu je walio toka vyuoni mwezi mmoja tu uliopita wakae miaka mitano kwanza. kwani wanawake ndio wenye uzoefu.

Inawezeka huu mpango wa 50 50 ndio utaowapeleka vijana wadogo wakiume kwa majimama.
maana naona usha gonga 80 by 20.
 
hizo kazi wanazoangalia wanawake hasa uwe mrembo ni za customer care secretary na wa mahotelini
 
Back
Top Bottom