Wadau muangalien kijana apate pakujishkiza maana hii utamsaidia hata baada ya kumalza chuo akisubr ajira.Habari. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nasoma education (biology na geography). Kwa semester hii ya mwisho nina muda wa ziada wa kutosha. Hivyo nachukua fulsa hii kuomba nafasi ya kuwa mwalimu wa ziada kwa shule yoyote ya sekondari iliyopo hapa Dar es Salaam (ikiwa ni shule binafsi ama ya serikali). Muda ambao ninakuwa huru kufanya kazi ni kama ifuatavyo:- jumatatu ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa sita mchana. Jumanne ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nane mchana. Jumatano ni kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni. Alhamisi ni kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni. Ijumaa ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi jioni. Kwa yeyote anayefahamu shule inyohitaji mwalimu naomba msaada tafadhari. Mawasiliano: 0766218969, email : mbatianis39@gmail.com. AHSANTENI.
WE' UNATAFUTA DHORUBA YA DEPATIMENTAL G.P.A.Habari. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nasoma education (biology na geography). Kwa semester hii ya mwisho nina muda wa ziada wa kutosha. Hivyo nachukua fulsa hii kuomba nafasi ya kuwa mwalimu wa ziada kwa shule yoyote ya sekondari iliyopo hapa Dar es Salaam (ikiwa ni shule binafsi ama ya serikali). Muda ambao ninakuwa huru kufanya kazi ni kama ifuatavyo:- jumatatu ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa sita mchana. Jumanne ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nane mchana. Jumatano ni kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni. Alhamisi ni kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa kumi jioni. Ijumaa ni kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi jioni. Kwa yeyote anayefahamu shule inyohitaji mwalimu naomba msaada tafadhari. Mawasiliano: 0766218969, email : mbatianis39@gmail.com. AHSANTENI.
Ni kweli. Ila sina tatizo la uhaba wa muda. Kwa kawaida huwa natumia wastani wa masaa matatu tu kwa siku katika kujisomea. Utaratibu huu ni kuanzia mwaka wa kwanza!Nakushauri tumia muda huo mwingi ulionao kujisomea kozi zako iliupate GPA nzuri,najua wazi unashida ya pesa,lakini GPA itakuweka mahali pazuri zaidi
Wewe wasema! Unataka nikutumie transcript ya matokeo uone nina GPA ya ngapi?Kumbe ndo maana first class pale Soed Udsm hutokea kwa nadra sana kwa mwendo huu mtaishia kwenye kwenye GPA ya 2.1