Habari za humu wakuu nahitaji msaada wa kupata nafasi ya kujitolea katika makampuni au mashirika tofauti tofauti nikiwa nimemaliza bachelor of science in multimedia technology and animation .Nahitaji msaada wa kuunganishwa sehemu yeyote ile ndani ya tanzania na nje ya tanzania niweze kupata ujuzi na kuingia katika ushindani wa soko la ajira asanteni.
Duh umesoma animation unaanza kulialia jf kutafuta kazi wakati ukipiga tangazo lako moja tu tunaongea s tori zingine. Hebu fungua youtube chanel anza kutengeneza animation uwe unaweka namba zako hapo chini tupa ig,tupa ticktock tupa kila kona