Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

Lazam Emanuel

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Natafuta nafasi ya kujitolea mkoani mbeya, nina shahada ya uchumi.

Naombeni ushirikiano wenu wana JF
 
njoo hapa jiji upande wa uchumi ulizia mashiku nitakusaidia

Ubarikiwe sana,maana una Roho ya huruma ajabu. Japo siyo mimi mhusika ila nimeguswa sana,maana shida ya vijana kwa upande wa ajira inatisha. MUNGU AKUTUNZE.
 
KAKA YAKO NAPITA nimekutafuta hapo jiji nimeulizia jina ulilontajia hapo upande wa uchumi wakadai hamna mtu anaeitwa Mashiku, cjiu utanisaidiaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom