Regina ngongi
Member
- Aug 1, 2012
- 7
- 0
Ni msichana mwenye miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita naomba msaada wa kazi aina yoyote.........ninauelewa wa computer ......nina uzoefu katika mauzo ya bidhaa kam nguo na vipodozi.......naishi Dar es salaam