nafasi ya kazi

mwagomba

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
6
Reaction score
0
kampuni ya wabantu,inatangaza nafasi za kazi kwa wenye taaluma ya sales and marketing.muombaji anatakiwa awe na uzoefu usiopungua miaka miwili,kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa simu.0755907839 .email hr@wabantu.com.mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28/2/2013.nafasi hizi ni kwa wale waishio Dar es salaam tu.
 
hamna lolote waiz wakubwa nyie wabantu mnapotezea watu muda tu mwisho wa cku mnawanyima watu haki zao

wabantu naifananisha na nchi ya kichaa inayoongozwa na mfalme juha, mfalme anayejifanya anajua kila taaluma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…