Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
73
Reaction score
43
Kampuni ya affluence training ltd inahitaji vijana wawili (2) [wakike au wakiume] kufanya kazi kwenye idara ya masoko - kazi ya kupiga simu kuwasiliana na wateja juu ya huduma za kampuni.

Sifa awe na elimu kuanzia cheti (certificate), diploma na kuendelea, awe na uwezo wa kushawishi wateja. Malipo ni kwa kila siku.

Kama uko tayari kapigie 0712066064 au karibu ofisini kwetu kwa mazungumzo zaidi, Kijitonyama jengo la millenium tower 2 ghorofa ya 21.

Mwisho wa kupokea maombi na kuanza kazi rasmi ni jumanne tarehe 18 julai 2023 saa 5:00 asubuhi.
 
Wenye vigugumizi kwenye huu mkondo Wana discriminated Sana 🥴
 
Au hawa ndio wale wanapiga simu kama wamevurugwa za mikopo ya kausha damu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom