Natafuta mwl anayeweza simamia Day care kama mwalimu mkuu
Shule inapatikana Kimara Mwisho.(njia ya Dawasco)
Sifa:
1.Awe na sifa ya uongozi.
2.Awe amesomea Ualimu.
3.Uzoefu wa miaka 3 akiwa msimamizi wa kazi.
4.Uzoefu wa kutumia computer vizuri excel na word.
Tafadhari tuma cv kwenye namba hii 0712616507.