Zubbyzubby
New Member
- Dec 26, 2018
- 4
- 0
Nafuta kazi kwenye NGO's ma officini na hata mashirika mbali mbali, na degree ya project planning management and community development. Kwa mawasiliano zaidi number yangu ya simu ni 0785878701. Ahsante.
tembelea maofisini.
Jitahidi ujiunge na magroup ya whatsapp ya AJIRALEO, huwa kunatolewa matangazo mbalimbali ya watu wenye degree waliosomea Social Work, Community development, Sociology, rural developmentNafuta kazi kwenye NGO's ma officini na hata mashirika mbali mbali, na degree ya project planning management and community development. Kwa mawasiliano zaidi number yangu ya simu ni 0785878701. Ahsante.
Ndio nini au umejisahau ulifikiri fb?
Jitahidi ujiunge na magroup ya whatsapp ya AJIRALEO, huwa kunatolewa matangazo mbalimbali ya watu wenye degree waliosomea Social Work, Community development, Sociology, rural development
Ebu ingia Arusha mail kuna tangazo la willows sijui kama nimepatia nenda kaangalie.
Office zao ziko mitaa ya kibo palace kama uko Arusha kajaribu bahati yako.
BTW mimi pia natafuta kazi ukisikia mahali nishtue mambo ya utaliii kwa ujumla.
Ingia ( www.ajiraleo.com) ukishaingia juu ya page utakuta umeandikwa KUJIUNGA NA MA- GROUP YETU YA WHATSAPP BOFYA HAPAYanapatikana vipi ?
Ahsante.Owky poa poa, hamna neno pia na wewe kajaribu Wildland expenditure hua na wao wananafasi za kazi iko kisongo