Nafasi ya kazi

Ulizi huo usiku na mchana au
 
Tulioko mikoani tunaruhusiwa kuomba??
Ulinzi unafanyika kwa SMG au rungu?
Mlinzi wa shift atakuwa mmoja au watakuwa zaid???

Ni hayo tuu
 
Tulioko mikoani tunaruhusiwa kuomba??
Ulinzi unafanyika kwa SMG au rungu?
Mlinzi wa shift atakuwa mmoja au watakuwa zaid???


Ni hayo tuu

Ukiwa mkoani ningumu sana maana hili gap linatakiwa kuzibwa Leo au kesho sasa ukiwa mkoa utachelewa best!! Mnakuwa said sits kwa usiku huku baadhi wakiwa na machinegun
 
Mwisho wa siku muibiwe 150??? Hiyo si nauli tu
 
Bosi huyo mtu kapatikana maana ndo nimeona Leo post yako ninachet cha jkt mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…