Stak kusema ubongo wako una hitilafuKijana wa kitanzania mwenye ujuzi ufuatao:
Kijana huyu wa kitanzania anahitaji ajira katika mikoa ya Arusha,Moshi au Dar es salaam.Mshahara ni maelewano
- Lugha:Ana uwezo kuzungumza na kuandika kiingereza.Kuandika mipango ya biashara,kuaanda nyaraka tenda,kuandaa mikataba,kutafsiri kiingereza na kiswahili,Kufundisha kiswahili na kiingereza,Kuandika vitabu vya kufundisha kishwahili na kiingereza,kuandaa mitaala ya kufundisha kozi mbalimbali.
- Kompyuta:Ana uwezo wa kutumia Windows,Mac and Linux.Ana uwezo wa kutumia Microsoft Office.Ana uwezo wa kutumia Program za accounting,Ana uwezo wa kutengeneza websites,html,php etc.Ana uwezo kuaanda web content kwa kiingereza na kiswahili.Ana ujuzi wa kutumia Cpanel na kuset up mail clients n.k.Ana uwezo wa kurepair Computer hardware na Software,Ana uwezo kufanya networking,ana uwezo wa kufunga CCTV camera.Ana uwezo wa kufundisha hivyo vyote
- Management:Ana uwezo wa kuendesha ofisi za aina mbalimbali kama vile,Chuo Cha Veta,Webhosting Company,Tour and Travel Agent,na huduma nyinginezo
- Skills nyingine ni kama vile:ufundi wa magari,udereva,welding na Carpentry na masonry.
Ukimuhitaji Ni PM
Acha uongo braza, huwezi kuwa unafanya vizur kwenye nyanja zote hizo, labda kama una sua sua, sasa kama unaweza kufanya yote hayo c ufungue ofis yako itakulipa tu mkuuKijana wa kitanzania mwenye ujuzi ufuatao:
Kijana huyu wa kitanzania anahitaji ajira katika mikoa ya Arusha,Moshi au Dar es salaam.Mshahara ni maelewano
- Lugha:Ana uwezo kuzungumza na kuandika kiingereza.Kuandika mipango ya biashara,kuaanda nyaraka tenda,kuandaa mikataba,kutafsiri kiingereza na kiswahili,Kufundisha kiswahili na kiingereza,Kuandika vitabu vya kufundisha kishwahili na kiingereza,kuandaa mitaala ya kufundisha kozi mbalimbali.
- Kompyuta:Ana uwezo wa kutumia Windows,Mac and Linux.Ana uwezo wa kutumia Microsoft Office.Ana uwezo wa kutumia Program za accounting,Ana uwezo wa kutengeneza websites,html,php etc.Ana uwezo kuaanda web content kwa kiingereza na kiswahili.Ana ujuzi wa kutumia Cpanel na kuset up mail clients n.k.Ana uwezo wa kurepair Computer hardware na Software,Ana uwezo kufanya networking,ana uwezo wa kufunga CCTV camera.Ana uwezo wa kufundisha hivyo vyote
- Management:Ana uwezo wa kuendesha ofisi za aina mbalimbali kama vile,Chuo Cha Veta,Webhosting Company,Tour and Travel Agent,na huduma nyinginezo
- Skills nyingine ni kama vile:ufundi wa magari,udereva,welding na Carpentry na masonry.
Ukimuhitaji Ni PM
Unachosema ni kweli ila anahitaji kuajiriwa tena kwa mshahara wa kawaida sana.Kama unahitaji mtu mwenye skills hizi na ukamtumia vizuri basi yupo tayariAcha uongo braza, huwezi kuwa unafanya vizur kwenye nyanja zote hizo, labda kama una sua sua, sasa kama unaweza kufanya yote hayo c ufungue ofis yako itakulipa tu mkuu
Kumbe umemuandikia mtu, basi umeshaingizwa choo cha kikeUnachosema ni kweli ila anahitaji kuajiriwa tena kwa mshahara wa kawaida sana.Kama unahitaji mtu mwenye skills hizi na ukamtumia vizuri basi yupo tayari