Nafasi ya Kazi

Jafferie

Member
Joined
Apr 2, 2007
Posts
5
Reaction score
2
Tunahitajika kijana mwenye umri kati ya miaka 25 - 35, mkazi wa Dar es Salaam. awe na uelewa wa matumizi ya Computer programs (accounts) jinsi ya kuhifadhi kumbukumbu (stocks) awe na uelewa wa matumizi ya Internet katika ku-update matangazo katika website.

Kwa mawasiliano zaidi:

Tel:+255 659 886 696
 
Jinsia yoyoete?
Tupigie au sms?
Tukutafute Kuanzia leo au j3?
 

nafasi bado ina mtu au unahitaji tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…