Kazi ya kufanya ni usafi na kufanya packaging..muda wa kazi ni saa mbili asb hadi ya kumi na nusu jioni.Siku tano kwa wikiVema mkuu. Weka na salary scale ya kiwanda chako ili tujue kabisa. Maana inawezekana unatoa masharti mengi afu mwisho wa siku mshahara kiduchu.
Mshahara sh ngapi?Kazi ya kufanya ni usafi na kufanya packaging..muda wa kazi ni saa mbili asb hadi ya kumi na nusu jioni.Siku tano kwa wiki
Mkuu u serious? 10000? Au umekosea kuandika figures...Negotiable ila si chini ya 10000 kwa siku,pia ni kibarua ila akiwa serious atapata mkataba..
Mkuu....umenifanya nicheke kwa sautii kubwaa saanaa na kwa herufi kubwaa saanaa..... Khaaa.... JF kiwanda cha majibu muruaa kabisaaBana usinichoshe..
Nina mdogo wang mkuu kaishia form 4 yuko vizur na ni mzoefu nitafute 0714994833/0788293736Nahitaji msichana wa kufanya kazi kwenye kiwanda kidogo cha chakula.Awe na sifa zifuatavyo.
1.Aliyemaliza kidato cha nne kati ya 2010 hadi 2015 na anajua kujieleza vizuri kwa kiswahili na kiingereza.
2.Mchapa kazi na mwenye kufuata sheria na kanuni za usafi.
3.Asiye na tabia ya nyodo na kujipendekeza kwa wasimamizi wake wa kazi kwa kutengeneza mazingira ya mahusiano yasiyo na maadili.
4.Msafi na nadhifu.
5.Awe anapatikana Moshi
Wakuu km una mdogo wako wa kike au ni mhusika ni pm tuwasiliane....nitafanya interview ya simu kwanza kabla sijakuruhusu kuja
oky mkuuNitakutafuta nikifika kazini,yuko Moshi?
Nahitaji msichana wa kufanya kazi kwenye kiwanda kidogo cha chakula.Awe na sifa zifuatavyo.
1.Aliyemaliza kidato cha nne kati ya 2010 hadi 2015 na anajua kujieleza vizuri kwa kiswahili na kiingereza.
2.Mchapa kazi na mwenye kufuata sheria na kanuni za usafi.
3.Asiye na tabia ya nyodo na kujipendekeza kwa wasimamizi wake wa kazi kwa kutengeneza mazingira ya mahusiano yasiyo na maadili.
4.Msafi na nadhifu.
5.Awe anapatikana Moshi
Wakuu km una mdogo wako wa kike au ni mhusika ni pm tuwasiliane....nitafanya interview ya simu kwanza kabla sijakuruhusu kuja
Endelea kushangaa watu wanasomesha kwa hela hiyo...10000 kwa siku unaiona ndogoMkuu u serious? 10000? Au umekosea kuandika figures...
Usiwe mwepesi kutoa namba wew ngoja ikusumbue midume mpaka ufunge cmnipo mkuu naitwa neema nipo moshi mjini 0757413670