Amos Moses
Member
- Apr 9, 2020
- 16
- 15
Habari ndugu zangu. Mimi ni mmiliki wa pharmacy ktk jiji la Dar nilikuwa natafuta mfanyakazi wa pharmacy.
Vigezo:
- Awe na elimu ngazi ya certificate time
- Awe mkazi wa Dar
- Awe na uzoefu wa kazi
Nb: atume CV zake kupitia amospingpang@gmail.com
Vigezo:
- Awe na elimu ngazi ya certificate time
- Awe mkazi wa Dar
- Awe na uzoefu wa kazi
Nb: atume CV zake kupitia amospingpang@gmail.com