Nafasi ya kazi ya marketing

Nafasi ya kazi ya marketing

Crespo294

Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
96
Reaction score
28
Habari,

Kama wewe umemaliza Bachelor au Diploma na una uzoefu wa marketing kwa mwaka mmoja na hauna kazi kabisa tafadhari nitafute PM. Kama utakua mkoa wa Mbeya itakua vizuri zaidi lakini kama haupo Mbeya na unapenda kufanya kazi Mbeya.

Tafadhari nitafute PM. Kwa maelezo zaidi na maelekezo.
Kigezo kikubwa ni Diploma au Digrii ya Marketing.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom