Nafasi ya Kazi ya Afisa masoko na uuzaji(Sales and Marketing)

majangatz

Senior Member
Nov 15, 2013
107
91
Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya afisa masoko na uuzaji katika kmapuni ya Alkanet. Hii ni kampuni inayoshughulika na masuala ya Tehama kwa ujumla. unaweza kupata maelezo kamili www.alkanet.co.tz.
Sifa na vigezo vitazingatiwa, tuma CV yako kupitia info@alkanet.co.tz , watu wachache wataitwa kwa ajili ya usaili. Changamkia fursa hii kama una sifa.
 
We normal do worry not. We have already reply to all the candidates as acknowledgement of their application.
 
Nashukuru kwa wote walioomba nafasi hii. Nitawaita kwa interview Ijumaa na Jumamosi. Mchakato umefungwa rasmi atakayetuma kuanzia sasa maombi yake hayatafanyiwa kazi.
Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom