It is disheartening to see how we disregard ourselves as non qualifiers. Mtu anakimbilia kusema wanapendelea walisoma nje mara wenye donor funded projects. Kwa mitazamo hii wengi wanashindwa kujaribu hata kuingia kwenye mashindano , tunajivika dhana za kufikirika dhana za vijiweni. Siafiki kuwa wenye degree za nje ndio wanapewa vipaumbele , na mtu anaweza kufanya tafiti binafsi . Watanzania tuamke, tupambane , tujaribu, tuepuke maneno ya kukatishana tamaa. Tusiwe watu wa kulalamika tu .
Na hata kama mtu hufanikiwi mara ya kwanza , pengine ni wasaa wa kujitazama na kuangalia ni nini haswa hufanyi sawa sawa ili kuwa competetive. Ukiuliza mwanajeshi anayejifunza kushoot they can tell how many trials they make before making the correct shot. It takes patience, repeated efforts and reflection before we make there.