pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Mimi ni mwalimu (b.sc.education)...natafuta kazi ya kufundisha part-time hapa dar. Masomo biology na geography.
Kwanini usi-apply serikalini?1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha st.john' s university of Tanzania.
2. My experiences 1 year worked Goldland school kigamboni.
3.Namtafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level .
4.Namba yangu ya simu 0685580831
5.My email: chidimapc20171139@gmail.com
Naishi Galibovu,mjimwema kigamboni Dar 6.es salaam
Na e mail yako ndo hiyo chidimapc1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha st.john' s university of Tanzania.
2. My experiences 1 year worked Goldland school kigamboni.
3.Namtafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level .
4.Namba yangu ya simu 0685580831
5.My email: chidimapc20171139@gmail.com
Naishi Galibovu,mjimwema kigamboni Dar 6.es salaam
Vijana wana shida sana hawa kwakweli, unapotafuta kazi email ya u teenager unatakiwa uache nayo
Mwalimu umeniangusha1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha st.john' s university of Tanzania.
2. My experiences 1 year worked Goldland school kigamboni.
3.Namtafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level .
4.Namba yangu ya simu 0685580831
5.My email: chidimapc20171139@gmail.com
Naishi Galibovu,mjimwema kigamboni Dar 6.es salaam
Hawa ndio walimu ambao wanatakiwa kubadilisha vizazi vijavyoVijana wana shida sana hawa kwakweli, unapotafuta kazi email ya u teenager unatakiwa uache nayo
Mwalimu umefeli sana, kwanza galibovu ndo nini, pili I level ndo level gani hiyo?, tatu unatumia email ya kihuni nani atakuamini akupe mwanae umfundishe uhuni, nne Worked Goldland ndio English ya wapi hiyo?. Tano, Dar 6.es salaam ndo mji gani huo?, mwalimu hiyo ni kuandika tu, vipi kuhusu kuongea, Ndio maana napenda walimu nao wawe wanafanyiwa interview.1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha st.john' s university of Tanzania.
2. My experiences 1 year worked Goldland school kigamboni.
3.Namtafuta nafasi ya kufundisha kwenye masomo yaliyotajwa hapo juu kuanzia I level and A Level .
4.Namba yangu ya simu 0685580831
5.My email: chidimapc20171139@gmail.com
Naishi Galibovu,mjimwema kigamboni Dar 6.es salaam
Mwalimu umefeli sana, kwanza galibovu ndo nini, pili I level ndo level gani hiyo?, tatu unatumia email ya kihuni nani atakuamini akupe mwanae umfundishe uhuni, nne Worked Goldland ndio English ya wapi hiyo?. Tano, Dar 6.es salaam ndo mji gani huo?, mwalimu hiyo ni kuandika tu, vipi kuhusu kuongea, Ndio maana napenda walimu nao wawe wanafanyiwa interview.

vi woonder
Epuka makosa haya katika wasifu wako unapoomba nafasi ya kazi1. Mm ni mwalimu wa physics na chemistry kutoka chuo cha st.john' s university of Tanzania.