Nafasi ya kazi UAE

mhhh......kazi UAE, kule Magufuli wao kaanza kuwatumbua
 
Watu wanakufa kila leo sababu za mawakala jamii yako....tunakutress nakuhakikishia ndani kunakuhusu nyauuu wewe
 
Kwanini usiweke hapa Website yao/ Contacts zao? Kwanini tukutafute kwenye hizo namba wewe wakati umesema kazi ni nje ya nchi? Jamani
 
UAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...

Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hiyo UAE ni salama kuzidi hata nchi yako, muulize mengine lakini sio usalama wa UAE hakuna nchi afrika inafikia usalama UAE
 
Ziko kampuni nyingi UAE zinaweza kukupa permit lakini sio kazi, yaani kampuni wanakupa permit ya miaka 2 ila ukifika huko utajua mwenyewe wapi utafanya kazi, uzuri kuwa kwa UAE kazi nyingi sana ila gharama za malazi ndio kubwa sana, ndio maana huko kukodi room (Studio) ni ghali na unakuta wanaishi zaidi watu 5 room Moja, na wastani wa permit zao inafika usd 3500 kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 2 unakuwa unarenew kwa pesa ya UAE dirham 2000 kama 1m ya kwetu, ila huyu mwenye huu uzi mmh sina hakika anachotangaza
 
Yaani, kama mmeshtuka jamaa baada ya Screenshot ya Chat kapotea, hiyo inaonyesha Dalili ya Utapeli kabisa.

Kama vipi aje aseme hiyo dollar 2000 ni kweli? Au je Mtu anaweza kuwafuatilia Visa mwenyewe? Wao watoe tu barua ya mwaliko/ barua ya Ajira baasi.
 
Aise, fursa hii jaman!

Sahamani lakini, ni kazi gani inayoenda kufanywa huko? kwasababu mara nyingi huwa tunafananisha kazi na kipato.
UAE ni nchi za Kiarabu, ukishatajiwa kazi unayokwenda kuifanya usiache KUJIONGEZA
 
Umenena vyema, isije ikawa ukifika kule passport inazuiliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule utaenda teswa na hurudi huku mzima
 
hamna kazi hapo wacha porojo!
peleka ndugu zako!,ukikosa nenda na mudi katangazen mtamban mtapata watu!
 
Mi nataman kwenda lakin mm mkristo isis wakijua mimi mkristo watanichinja maana wataniita aramu kafili dah nitafutie za ulay bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bora kwendelea kuuza dagaa bongo
Utapeli Uu zilipendwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…