RASHIDI OMARY
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 524
- 501
Huyo ana nia ya kuwakatisha tamaa wenzake...chuki tuMkuu unaijua UAE vizuri kweli?
DONT JUDGE THE BOOK BY ITS COVERS....maelfu ya watanzania wameajiriwa kwenye nchi za kiarabu na wamefaidika na vibarua hivyo...Wewe kaa hapa hapa tu hujaambiwa kwenda kilazimaTulizana kwetu Tz waarabu ni washenzi kupita maelezo ngozi nyeusi kwao ni najisi dola 400 ni nini mbona rahisi kuzipata ukiwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafundishe huko kuwa serious na kuzipata hizo 400 USD kiulaini na sio blaa blaa tu za kuwakatisha watu tamaaTulizana kwetu Tz waarabu ni washenzi kupita maelezo ngozi nyeusi kwao ni najisi dola 400 ni nini mbona rahisi kuzipata ukiwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506
iPhone 6s
Embu toa huu uchafu wako huko, wataftie ndugu zako ukoo mzima wote,Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506
iPhone 6s
ndioUna uhakika na unachosema Ndugu?
iPhone 6s
Sasa kama sio uongo Hizo dollar 2000 za nini? Unajua ni ela nyingi sana kiasi cha kwamba mtu anaweza kufungua kiwanda kidogo cha cherehani nne na kuanza kujiajili.Una uhakika na unachosema Ndugu?
iPhone 6s
Habari, wanajf
Rejea kichwa cha habari juu, Fursa kwa mtu mwenye taaluma yeyote nchini awe kijana wa umri kati ya miaka 18-30 anaejitambua mwenye ueledi, uelewa na nidhamu kwa ujumla.
Nafasi hii ya Kazi kwa yeyote mwenye elimu ngazi ya Astashahada, stashahada au shahada ya mafunzo yeyote mshahara ni kati ya dola 400$ kwa muda wa mwezi mmoja,gharama za malazi, chakula na matumizi muhimu kwa mwajiriwa ni juu ya mwajiri.
Pia kuhusu gharama za kwenda mwajiriwa Inabidi ajigharamie nauli na visa awe na passport.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi
WhatsApp au sms:0711633656 au 0746848506
iPhone 6s
Kugegedwa ni maamuzi ya mtu hapa kwetu wangapi wanagegedwa tena bila chochoteHizi kazi ambazo hazitajwi, zina mashaka.. juzi juzi tu niliona clip ya mdada wa kibongo akigegedwa na wazungu kwa kwa kulazimishwa kisa alidanganywa kuna kazi.
We..umemuelewa lakini?Kugegedwa ni maamuzi ya mtu hapa kwetu wangapi wanagegedwa tena bila chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kugegedwa ni maamuzi ya mtu hapa kwetu wangapi wanagegedwa tena bila chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo bandiko lako kama lina utata,mbona kaz hazijawekwa ili mtu ajue anaomba kaz ya aina gan,maana ukiweka namba ya simu ndo yatakuja yale mambo ya tuma kwanza ela nkuunganshe na wahusikaAstashahada, stashahada,shahada wote mnaweza kwenda kutegemea na taaluma yako
iPhone 6s
ahahahahahahahaUAE unamaaniaha United Arab Emirates au??? Kama ni huko bora niendelee kuisoma namba tu nisubiri vi-wonder...
Kama ni kifo bora kinikute hapa home kuliko kukifuata kwa maharamia huko...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app