Nafasi ya kazi (TYPIST)

Nafasi ya kazi (TYPIST)

jndetembea

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
27
Reaction score
20
Sifa za mwambaji
Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela)
Awe na elimu ya kidato cha NNE
Awe na spidi ya Ku type
Awe msichana
Umri miaka 16-24

Tuna Maombi kupitia email
Joyceissack@gmail.com
Mwisho tarehe 02/10/2016
Wahi kutuma Maombi ili kupata nafasi hii.
 
Asiwe ameolewa?? Hii sifa ngumu kweli halafu kama sijawahi iona mahala vile..................
 
Huwezi ukamchukua make wa na kumweka ofisini kwako wakati huna mke. Mme wake hata kuwa na Amani.
Unatafuta "Mke" ama "Mfanyakazi"??? Hivi vitu haviingiliani bana wacha kabisa. Kwahiyo walioolewa wasifanyekazi???
 
Back
Top Bottom