echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
Wanahitajika watu watatu wa kufanya marketing ya kampuni ( Sio ya kutembeza vyombo) malipo ni kwa Kamisheni kwa kipindi cha miezi mitatu ndipo utaanza kulipwa mshahara,vigezo uwe na uwezo mzuri wa kuongea kiingereza na uzoefu wa kazi hiyo ni tuma cv yako kwenda (aplication244@gmail.com) cv pamoja na cover letter