figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,707
- 59,225
Nafasi ya kazi ya muhasibu msaidizi
Sifa za muombaji:-
1.Awe Mwanamke na uzoefu usiopungua mwaka moja.
2.Umri Usiozidi miaka 35
3.Awe Diploma/degree ya uhasibu
4.Awe Na uwezo wa kufanya kazi katika pressure kubwa
5.Mshahara 400,000 kwa mwezi.
6.Awe Anajua kutumia computer vizuri
7.Mtu Mwenye uwezo wa kufanya kazi chini ya usimamizi mdogo
8.Awe Na uwezo wa kufanya kazi katika ushirikiano
Kituo cha kazi ni Dar es Salaam
-Maombi yatumwe kabla ya 17/09/2014
-Maombi ya mwanzo yatapewa kipaumbele
Maombi yatumwe kwa:
Nassoro Juma
Human Resources Manager
Utrack Africa Limited
Tel +255 22 2666 189.