chakarikamkopo
Member
- May 24, 2012
- 79
- 57
| |
co kila kitu unatakiwa kucomment vingine unapita kama havikuhusu na co unaleta dharau
| jamani nyie chakarika mbona kimya hatuelewi au mlikuwa mnatudanganya |
Mtakua mlitaka kujitangaza sio kutafuta wafanya kazi.Asante sana, Mbona tulishawaita kwenye usaili wale waliotimiza vigezo?. Watatu waliajiriwa na walishaanza kazi kitambo ya kutoa mikopo
NAFASI YA KAZI: MAAFISA
MKOPO.
Chakarika Credit Facility ni taasisi
inayotoa mikopo midogo midogo iliyopo maghorofa ya Urafiki Shekilango
mkabala na Royal College inatangaza nafasi ya kazi ya maafisa mikopo.
Sifa
zinazotakiwa: ·
Mwombaji awe mwaminifu
·
Umri usizidi miaka
30 ·
Uzoefu sio
lazima ·
Awe mhitimu wa diploma na
kuendelea ·
Awe tayari kwa kazi ya
kutembea zaidi kuliko kushinda ofisini
·
Awe tayari kutoa mikopo na
kufuatilia marejesho yake ·
Awe
mvumilivu Tuma maombi yako
kwa email:
chakarikamkopo@yahoo.com
kabla ya tarehe 4th March 2013. Tafadhali usitume scanned copies. Tuma
CV na barua ya maombi. Vyeti utaleta siku ya usaili baada ya maombi yako
kupokelewa na kujulishwa tarehe ya usaili.