chakarikamkopo
Member
- May 24, 2012
- 79
- 56
| |
NAFASI YA KAZI: MAAFISA MKOPO.
Chakarika Credit Facility ni taasisi inayotoa mikopo midogo midogo iliyopo maghorofa ya Urafiki Shekilango mkabala na Royal College inatangaza nafasi ya kazi ya maafisa mikopo. Sifa zinazotakiwa: · Mwombaji awe mwaminifu · Umri usizidi miaka 30 · Uzoefu sio lazima · Awe mhitimu wa diploma na kuendelea · Awe tayari kwa kazi ya kutembea zaidi kuliko kushinda ofisini · Awe tayari kutoa mikopo na kufuatilia marejesho yake · Awe mvumilivu Tuma maombi yako kwa email: chakarikamkopo@yahoo.com kabla ya tarehe 4th March 2013. Tafadhali usitume scanned copies. Tuma CV na barua ya maombi. Vyeti utaleta siku ya usaili baada ya maombi yako kupokelewa na kujulishwa tarehe ya usaili.