Nafasi ya kazi kwa muda

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,949
Reaction score
6,785
Mimi ni kijana,mwanafunzi katika moja ya vyuo vya afya hapa nchini.Naomba kwa yoyote mwenye nafasi ya kazi aniajiri niifanye kwa muda huu wa likizo wa miezi miwili

Ninaweza

1:Kufundisha kidato cha kwanza hadi cha nne,kemia,fizikia,baiolojia na hesabu na kemia na baioljia kwa kidato cha tano na sita

2:Kusoma prescription na kutoa dawa kwenye pharmacies na kumwelekeza mgonjwa matumizi na taarifa nyingine muhimu katika utumizi wa dawa

3:Kuuza duka,


Mwenye nafasi aniPM au aje ,natanguliza shukrani

Nipo Mwanza
 
kuna shule ya kata iko Longoi hawajawahi kuwa na mwl wa physics kwa miaka kumi na tatu uko tayari....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…