Nafasi ya kazi kwa mtu aliyesoma web designing

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,499
50,994
Natafuta mfanyakazi nitakaye mwajiri aliyesomea web designing

Sio lazima uwe na cheti ila uzoefu na experience ya kufanya kazi tunaweza Fanya kazi kama upo tayari ni pm naomba yako .......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom