Twande JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 543 Reaction score 174 Oct 15, 2012 #1 Una ndugu yako anatafuta kazi? email me au nipm. . email sweetie92@yahoo.com SIFA Awe mwaminifu Msafi anayejipenda God fearing Aliyetulia kiingereza is an added advantage.
Una ndugu yako anatafuta kazi? email me au nipm. . email sweetie92@yahoo.com SIFA Awe mwaminifu Msafi anayejipenda God fearing Aliyetulia kiingereza is an added advantage.
dada white JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,228 Reaction score 515 Oct 15, 2012 #2 Dadavua duka la namna gani plz nina kijana machachari hapa ili nikuPM namba zake ni mwaminifu kamaliza form 4
Dadavua duka la namna gani plz nina kijana machachari hapa ili nikuPM namba zake ni mwaminifu kamaliza form 4
D Dinam Senior Member Joined Jan 19, 2011 Posts 116 Reaction score 28 Oct 15, 2012 #3 Kuuza duka lanini fafanua basi
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,139 Oct 15, 2012 #4 Dinam said: Kuuza duka lanini fafanua basi Click to expand... Manake hata nanihii ni duka pia........:lol::lol::lol::eyebrows::eyebrows::embarassed2:
Dinam said: Kuuza duka lanini fafanua basi Click to expand... Manake hata nanihii ni duka pia........:lol::lol::lol::eyebrows::eyebrows::embarassed2:
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,032 Reaction score 64,129 Oct 15, 2012 #5 mkuu nahitaji hiyo kazi ya duka. niandikie figganigga@jamiiforums.com
Twande JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 543 Reaction score 174 Oct 15, 2012 Thread starter #6 Ni Duka la nguo waungwana. .Interview itakuwa jumatano,, jinsia ya ke ni more preferable.