NAFASI YA KAZI ACCOUNTANT / DEPARTMENT MANAGER
Sifa zinazohitajika:
1. Accounting Technician ll(Atec ll)/ Diploma ya accounts/ Diploma ya Business Adminstration.
2. Awe na uwezo mzuri wa kutumia computer hasa Excel, Word, pia ziada km accounting
packages kama Tally au Quickbooks, n.k.
3. Uzoefu wa namna/nafasi yeyote katika shughuli za kijasriamali na uongozi km nyongeza.
4. Wenye degree za biashara pia watafikiriwa
5. Mshahara ni maelewano tegemea na sifa.
6. Mahala ilipo ofisi : mjini Musoma.
7. Marupurupu yatakuwepo tegemea na mahitaji
8. Umri 28 yrs - 55 yrs
SHUKRAN KWA WOOTE WALIOJITOKEZA, TAYARI TUMEMPATA MTU.