Nafasi ya CHADEMA Bungeni

Tanu Youthleague na Wana JF,
Mbona Mbowe ameshalitolea ufafanuzi kuhusu Gari la Kambi ya Upinzani (KUB).
Kila Cheo kuna Stahiki zake, na yeye sio aliyepanga, hizi zinapangwa na chombo husika,
akaenda mbali kusema kama Kiongozi wa Upinzani anatakiwa awe na Gari, Nyumba, Ulinzi na mambo mengine.
Kuhusu Upinzani Bungeni, Jamaa wamejiita idi, kwa Udogo wao wa wawabunge na michango yao Bungeni si haba.
My Take: Tuache kuchanganya mambo
Nawakilisha



 
wakuu sikufatilia hotuba ya bajeti kwa karibu hivi fedha za kujenga viwanda vitano vipya vya sukari imetengwa?
 
Mkuu una elimu gani? Anyway, maoni yao ingelikuwa mbadala kama serikali ya Chama Cha Mapenzi ingelikuwa sikivu.
 

mamamayoo! Mse**g wewe,unaleta umbea hapa,hizo description kwenye mabano manaake nini?
 
watu kama wewe Tanu Youthleague huwa wananishangaza sana. Wakati vijana wenzio wanapambana kuikomboa nchi yetu kutoka mikonkni mwa majambazi a k a serikali ya ccm, wewe unajipendekeza as if na wewe ni mbunge wa ccm ambaye akisha maliza kulalamikia budget namna inavyomkaba ANAUNGA HOJA % 300. Vinginevyo basi na wewe ni Fisadi mkubwa. unanufaika na hili liserikali.
 
mi nataka kujua zile hela za miradi za mwaka uliopita wa bajeti ambazo hazikutumika ziko wapi kuna maelezo yoyote kuhusu hilo?
 

Mr DHAIFU yupo kazini.
 
mzalendo tunatafiti tuone mamayako alijifungulia wapi akatoa kiumbe kama wewe isiwe tunaongea na mtu anayetatafutwa milembe
 
Jamani; jibu la makampuni ya simu lilitolewa? Kweli kuna haja ya kupandisha kodi (paye) kwa wafanyakazi ambao ukichanganya na vat watalipa kodi kati ya 30% - 50% kutoka kwenye mshahara yao? Haya makampuni ya simu yatalipa kodi stahiki? Au serikali bado inawaacha. Wahurumieni watanzania?????
 
hoja DHAIFU haina mashiko...kavue gamba kwanza.
 
CDM sio chama cha kisiasa, ni CLUB tu ya watu kutoka NORTH!
 
mzalendo tunatafiti tuone mamayako alijifungulia wapi akatoa kiumbe kama wewe isiwe tunaongea na mtu anayetatafutwa milembe

Wewe utakuwa kwenye kundi la watu wenye akili ndogo na kwa maana hiyo huwezi kujibu hoja za watu wenye akili kubwa (nyingi) kama Tanu Youthleague. Nadhani hata humu JF wengi wanazo sifa kama zako hawajibu hoja na badala yake wanatukana au kuonyesha makosa ya upande mwingine wakiamini ndiyo majibu halisi. Its precisely and concicely rubish"- first class economist.
 

nepi nauye at work. tumekusikia na tutatekeleza. kigumu chama cha magamba!
 
Dah, umejitahidi kweli kuandika unachofikiria ni sahihi, hebu kaa chini utafakari, halafu, uchukue hatua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…