Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

Najua mtahitaji graphics designer,ikifika hiyo point nishtue tufanye kazi mkuu
 
1. MyElimu ipo Tz nzima au mmejikita Dar es Salaam pekee?

2. Mimi ni Mwl. wa lugha aali ya Kiswahili je, mnahitaji walimu wangapi wa Kiswahili?

3. Je, ajira zenu ni kama zile tulizozizoea za kujuana au la?

Hili swali la Na.3 limekuwa likiathiri sana maana mnatoa tangazo wakati mkiwa na watu wenu pembeni, mnasumbua watu kuja kwenye usaili huku mkijua wengine ni wasindikizaji.
 
yaani huyu malkia hajaacha tabia yake ya kupeana mikono uku kavaa gloves?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…