Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Mnahitaji walimu wa masomo gan. .na pia shirika lenu linaendwa vipi..mnaajiri au inakuwaje
AsanteNashukuru kwa kukumbusha. Tunahitaji walimu wa Kiswahili, English, Math, Biology, Physics Chemistry na Geography. Kwenye "kuendwa" sijaelewa, ila yes tunaajiri. Full time na part time.
Ni lazima awe amesoma education tu? Maana kuna kijana anaweza kufundisha PCM level zote ,ila Chuo kasoma engineering VP hapo?Asante
Nadhani kijana kama huyu twaweza kufanya naye kazi kwa namna moja ama nyingine.Ni lazima awe amesoma education tu? Maana kuna kijana anaweza kufundisha PCM level zote ,ila Chuo kasoma engineering VP hapo?
Yes kwa kufundisha inabidi uwe kwenye fani. Yaani umesomea education.Lazima uwe mwalimu yaan kwny fani ni in education au ujue kufundisha tu maana maelezo yako hajajtosheleza mkuu.
Point nzuri. Ili kuendana na matakwa ya authorities, kwa mwalimu atakayefundisha inabidi awe amesomea. Lakini MyElimu pia tuna platform ya wanafunzi kujadiliana ambayo tunafanya kazi na walimu pia. Hapo tunaweza kufanya kazi hata na ambaye hajasomea lakini anaweza kufundisha.kuna wengine ni wataalamu au wamebobea kwenye fani moja Mf. chemistry, jiografia, fizikia, hesabu au kiswahili lakini sio walimu
hivyo una hitaji aliyesoma ualimu na kufahamu mwalimu na mwanafunzi wana takiwa kuwaje? kufahamu mitaala ya kufundishia na mbinu mbali mbali? au una taka wataalamu wabobezi ktk fani hizo hata kama sio walimu
Jaribu kuifafanua vizuri mkuu,taasisi iko wapi?na inafanyaje kazi?Hello. Kuna nafasi za walimu kwa ajili ya kujiunga na shirika la MyElimu kufundisha masomo ya sekondari. Mwalimu awe na uwezo wa ufundisha masomo mawili, awe fluent kwenye kiingereza na mjuzi wa kutumia mitandao. Tuma CV na cover letter kwenda jobs@myelimu.com. You can reach to us via our social media accounts for more information.
NB:
Hey Livafan. Nimejibu swali lako. Apologies kwa kuchelewa.*#Given Edward*# jibu hoja zetu basi tujue namna ya kusaidizana .
MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa sekondari waweze kusoma kwa urahisi ufasaha, na kutumia kile walichosoma kujiendeleza. MyElimu ilianza mwaka 2014 kama platform ya discussion kwa wanafunzi wa sekondari. Wanafunzi wanajadiliana na wenzao kupitia mtandao wa myelimu.com.Jaribu kuifafanua vizuri mkuu,taasisi iko wapi?na inafanyaje kazi?
mwisho wa kutuma maombi ni lini mkuu?
Ahsante kwa maelezo mazuri,umesema walimu mnawaajiri wa part time na full time pia!MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa sekondari waweze kusoma kwa urahisi ufasaha, na kutumia kile walichosoma kujiendeleza. MyElimu ilianza mwaka 2014 kama platform ya discussion kwa wanafunzi wa sekondari. Wanafunzi wanajadiliana na wenzao kupitia mtandao wa myelimu.com.
Mwaka 2015, tulipewa tuzo na Malkia Elizabeth II wa Uingereza kutokana na namna tunavyotumia technology kuboresha elimu kwa vijana wa Tanzania na hatimaye Africa kwa ujumla.
Kwa sasa, tunakuza team yetu ili kuweza kufanya mambo mengi zaidi na kuwafikia wanafunzi wengi zaidi. Kutokana na hilo tunahitaji kuongeza walimu na ndipo hapo ambapo hili tangazo linaingia.
I hope nimejitahidi kujibu.