Nafasi ya Accountant - 1 post

Nafasi ya Accountant - 1 post

saritha

Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
71
Reaction score
19
Hello...kuna nafasi ya accountant ..

awe na degree ya accounting na awe amemaliza mwaka 2014 au 2015..

Atume CV kwa hrtz@unipartauto.com

Mwisho j3 tar 12 oct 2015
 
Lazima awe amemaliza mwaka huo, mimi nimemaliza mwaka 2013
 
Plz send ua Cv kama uko qualified utapigiwa simu
 
mimi nina wasi wasi Usiri wa taarifa za jina la Office mahali ilipo sidhani kama kuna kazi hapo
 
Back
Top Bottom