Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 541
kwa anaejua naomba mnijuze km nacte washaanza kupokea maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu diploma na certificate na sifa za muombaji.
sijakuelewa unavyosema vyuo vya 'oakum' unamaanisha nini?,hebu rudia kusoma ulichoandika
ulimi uliteleza namanisha ualimu.