Nafasi mpya za kazi inuka

Nafasi mpya za kazi inuka

dad24

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
464
Reaction score
121
NAFASI MPYA ZA KAZI INUKA MWISHO TAREHE 21/3/2014


AFISA MIPANGO(NAFASI 8)
KAMPUNI:INUKA
SEHEMU:Iringa
MAELEZO YA KAZI:
MSHAHARA TSH 500,000/=
Awe amesoma chuo kinachotambuliwa na serikali
Awe na shahada fani husika
Awe na uwezo wa kusoma na kuandika kwa ufasaha kiingereza na kiswahili
Awe na uwezo wa kutumia kompyuta
Awe na uzoefu wa kazi afisa mipango usiopungua miaka 2
------------------------
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
WAOMBAJI WOTE WAAMBATANISHE:-
Vivuli vya vyeti vya taaluma husika na nakala ya cheti cha kuzaliwa
MAOMBI YATUMWE
INUKA
S. L. P 0270
ARUSHA
SIMU:+255 (0) 688 422 340
AU
YAFIKISHWE OFISI ZA INUKA
ZILILIZOPO KATA YA MANZESE TAWI LA TUPENDANE CCM
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 21/3/2014



AFISA MASOKO (NAFASI 5)
KAMPUNI:INUKA
SEHEMU:MBEYA
MAELEZO YA KAZI
MSHAHARA TSH 720,000/=
Awe amesoma chuo kinachotambuliwa na serikali
Awe na shahada ya fani husika
Aambatanishe vivuli vya veti vya taaluma na nakala ya cheti cha kuzaliwa
Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kw a ufasaha lugha ya kiingereza na kiswahili
Awe na uwezo wa kutumia kompyuta
awe na uzoefu wa kazi husika usiopungua miaka 2.
---------------------------
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
MAOMBI YOTE YATUMWE KWA :-
INUKA
S.L. P 0260
ARUSHA.
SIMU:+255 (0) 688 422 340
AU
ZIFIKISHWE OFISI ZA INUKA ZILIZOPO
KATA YA MANZESE
TAWI LA TUPENDANE CCM WILAYA YA KINONDONI-DAR ES SALAAM
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:21/3/2014



SEKRETARI (NAFASI 10)
KAMPUNI:INUKA
SEHEMU:MWANZA
MAELEZO YA KAZI
mshahara Tsh 400,000/=
Awe amesoma chuo kinachotambuliwa na serikali
Awe na cheti au diploma ya sekretari
Awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 28
Aambatanishe kivuli cha cheti cha uzoefu
Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza kwa ufasaha
Maombi yaambatanishwe na kivuli cha cheti cha kuzaliwa na nakala ya vyeti halisi vya mafunzo husika
----------------------
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
MAOMBI YATUMWE:-
INUKA
S. L. P. 0270
ARUSHA
SIMU:+255 (0) 688 422 340
AU
YAFIKISHWE OFISI ZA INUKA
ZILIZOPO CCM MANZESE
TAWI LA TUPENDANE
WILAYA YA KINONDONI-DAR ES SALAAM
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:21/3/2014
 
Ili kuonyesha validation ya tangazo hii, ni gazeti gani au website gani (i.e ya hao inuka) nafasi hizi zinapatikana?
 
Ili kuonyesha validation ya tangazo hii, ni gazeti gani au website gani (i.e ya hao inuka) nafasi hizi zinapatikana?
Unaonaje ukiwapigia simu maana zipo hapo namba zao ila pia zoomtanzania na ajirazetu.com zipo
 
Back
Top Bottom