Natafuta mtumishi wa kazi za ndani mwenye jinsi ya kike. sijawahi kuwa na mtumishi yeyeto wala sina uzoefu wa watu hao hivyo yeyote mwenye mawazo ya kumpata mtumishi mzuri please msaada.
Ni vizuri ukawa wazi kwa mambo yafuatayo:
1. Je umeoa?
2. Mna watoto wangapi na wa umri gani?
3. Unataka msichana mwenye sifa gani na umri gani?
4. Kama hutajali, uko mkoa gani?