mnachukua wanafunzi wenye sifa ganITENDE HIGH SCHOOL -MBEYA
NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2017.
Uongozi wa SHULE, Unatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2017.
Shule ni bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana.
TAHSUSI zilizopo ni EGM, HKL,HGK,HGL na HGE.
Mazingira mazuri na Tulivu kwa masomo na usalama wa mtoto wako.
Masomo yataanza rasmi 17/4/2017.
Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni na ukitaka tunakutumia kwa Email utakayotupa: kwa gharama ya shilingi 10,000 tu kupitia Mpesa.
Ada yetu ni sh 1,200,000 kwa mwaka na hulipwa kwa awamu.
Shule ipo Mbeya mjini, nyuma ya kambi ya JKT Itende.
Shule ina fanya vema.
Matokeo ya kidato cha sita 2016 (daraja 1 mpaka la 3 tu).
Shule ina maabara na Maktaba nzuri.
Kwa malezi ya kiakili,kiroho na kimwili mlete mwanao Itende high school-Mbeya.
WAHI MAPEMA
0754734009
Duh hii hatareee sasa[emoji23]Hii shule naikubali sana. Haina masomo ya sayansi lakini ina maabara.
Tehe tehe, History wanafundisha kwa practical.
Akiwajibu mnitagSasa maabara yanafanya kaz gan kama hakuna (COMB) TAHASUSI za sayansi Mkuu mbona unatupa mashaka
Labda wanaprove global warmingSasa maabara yanafanya kaz gan kama hakuna (COMB) TAHASUSI za sayansi Mkuu mbona unatupa mashaka
Hii hataree kumbe niliyokua naambiwa wakat ndo nimejiunga na jf majuz kua watu kuibiwa tumilion million nikawaida duuhAkiwajibu mnitag
Jaman jaman maabara na history wap na wapLabda wanaprove global warming
Mimi sijwahi kusikia shule ya arts ina maabara. Ndio uzuri Wa nchi yetu (vi-wonders)Kwani Geography haitaji maabara?
Huwa zipo na nimeona shule moja ikiwa na maabara za Geography, na Agriculture mbali na zile zilizozoeleka za kemia, fizikia na biology.Mimi sijwahi kusikia shule ya arts ina maabara. Ndio uzuri Wa nchi yetu (vi-wonders)
Hizi hua ni maegesho tu, vifaa vikiharibika hawatengenezi tena. Believe me or not, no shule chache sana wanazingatia uwepo Wa maabaraHuwa zipo na nimeona shule moja ikiwa na maabara za Geography, na Agriculture mbali na zile zilizozoeleka za kemia, fizikia na biology.
We unasema maabara ni kwa O.LEVEL but mtoa mada amesema nafas kidato cha 5 hajaongelea O.levelMaabara ni kwa O-LEVEL jamani!!!
ITENDE HIGH SCHOOL ina O-level pia,mtoa mada alisahau kuspecify tu!mnamshambulia kama kapatikana na madawa ya kulevya!!!!
N:B-Fuatilia matokeo ya Advance kwa combinations zilizowekawa juu hapo kwa ITENDE SEC!
I assure, you are going to agree and confess that ITENDE HIGH SCHOOL is a better place for abundant achievements of your sons and daughters!