middo lulyheart JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 260 Reaction score 98 Apr 2, 2014 #1 Wana jf, Nina elimu ya form four na class C licence uzoefu wa miaka 4 now! Kama kuna mtu ataweza kusikia kazi au nafasi ya udereva. Pliz naomba anifahamishe 0783061106
Wana jf, Nina elimu ya form four na class C licence uzoefu wa miaka 4 now! Kama kuna mtu ataweza kusikia kazi au nafasi ya udereva. Pliz naomba anifahamishe 0783061106
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 750 Reaction score 367 Apr 7, 2014 #2 nenda uda ila uwe na psv certificate toka NIT, WALITANGAZA