Nafasi, kazi ya kujitolea NGO

Nafasi, kazi ya kujitolea NGO

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Wadau,
kuna nafasi za kazi, kwa wale mnaokidhi vigezo mnaweza kutuma maombi na kujaribu bahati zenu.

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya COMMUNITY WELFARE AND SOCIAL SERVICES inayojihusisha na maendeleo ya jamii inatangaza nafasi za kazi ya kujitolea katika nafasi zifuatazo;-
Website designer 1post,fund raising 1 post, Project coordinator na Regional Director mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Dodoma, Singida, Mbeya, Iringa, Morogoro, Mara, Tabora, Ruvuma, Kigoma, Geita, Shinyanga, Simiyu na Kilimanjaro.
Kutuma maombi tuma moja kwa moja kwa country director kwa email infocwss@gmail.com au tuma kwenye sanduku la posta 11533, Mwanza.
Kumbuka kuandika nafasi unayoomba na mkoa kwa nafasi ya Director.
Mwisho wa kupokea maombi ni tar 05 disemba.
 
Nowadays even Volunteering we're applying,. :car:
 
Nashukuru kusikia hivyo,kwani nishavolunteer kwenye NGO moja inapatikana Iringa.Naomba hapo niweze kuja,ni mbunifu na nina talents.
 
Back
Top Bottom