Samahan wadau! mimi matokeo yangu ni div.4 point 32...masomo niliyofaulu ni english C na kiswhili B na niliyofeli ni mathematics F na chemistry E yaliyobaki yote D" nami nataka kusoma ualimu hata ikiwa private naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya private kwa "day" vyenye gharama nafuu na kama tangazo la wizara likitoka mtujuze mtakao wahi kulisikia ...