jajis Member Joined May 19, 2014 Posts 93 Reaction score 13 Jun 3, 2015 #1 Jamani mwenye taaarifa kuhusu zile nafasi zilzo tangazwa na bot watu walisha itwa kufanya usail
S Simply_Geniuz Member Joined May 12, 2015 Posts 88 Reaction score 17 Jun 3, 2015 #2 jajis said: Jamani mwenye taaarifa kuhusu zile nafasi zilzo tangazwa na bot watu walisha itwa kufanya usail Click to expand... una ndugu yyte kule BOT...? Kama una basi anza kujenga urafiki hata na Housemaker wa bwana Benno Ndullu uenda mwakani kwenye posts zingine utaitwa mkuu.
jajis said: Jamani mwenye taaarifa kuhusu zile nafasi zilzo tangazwa na bot watu walisha itwa kufanya usail Click to expand... una ndugu yyte kule BOT...? Kama una basi anza kujenga urafiki hata na Housemaker wa bwana Benno Ndullu uenda mwakani kwenye posts zingine utaitwa mkuu.
jajis Member Joined May 19, 2014 Posts 93 Reaction score 13 Jun 3, 2015 Thread starter #3 Sina hata ndugu hapo bot ndo kusema kuwa watu tayari wapo kazini wenye ndugu zao
K kuku wa kienyeji JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 494 Reaction score 151 Jun 3, 2015 #4 Bado hawajaita
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Jun 3, 2015 #5 Sidhani kama wameita,me pia niliomba.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 Jun 3, 2015 #6 Siku wakiita utajua tu.
santor Member Joined May 26, 2015 Posts 23 Reaction score 10 Jun 3, 2015 #7 I hope this month watawaita kufanya usaili....
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Jun 3, 2015 #8 Siku hizi wamejaa wapogoro na wandamba wakina Lumbanga!!