KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING.
Kazi: Kufanya declaration na kutengeneza documents katika tancis system(2) ku-process documents shipping lines na kwa consolidators(2) kutoa mizigo bandarini (2)
Sifa: Elimu ya sekondari kuanzia kidato cha sita na kuendelea. Mwombaji awe na cheti cha east african customs clearing and forwarding practicing certificate.
Ujuzi: Awe na uzoefu wa miaka angalau miwili katika kazi za clearing and forwarding
Lugha: Awe anajua kuongea vizuri kiingereza na kiswahili
Maombi yakiambatanishwa copy za vyeti na CV na majina ya wadhamini wawili wanaotambulika yatumwe kwenye email :flagsectz@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi hayo ni 13/09/2015.