Nafasi 50 za kazi..

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
795
Kwa wale graduates.. nimekutana nayo sehemu. Siko sure ka ni legit maana email ni ya gmail..alafu wametaja mshahara..anyways.. mzigo huo hapo
e801b3d6e7eaff36015f3d71e04ca3d7.jpg
 
inakuwaje wanatumia anuani ya gmail?
halafu kama vile GNLD... hebu tungoje wadau wanasemaje maana kwenye web yao naona michango kibao
Wewe apply tu muhimu ni kuwa makini na matapeli wa ajira

Maombi yako yatafika kupitia gmail hiyo hiyo
 
The opportunity is legit.

Nimetembelea website yao, nikaona official email address na namba ya simu. Nikawapigia na kuambiwa official email (info@elnetafrica.com) ina storage capacity ndogo hivyo inaweza kucrash.

Kwa sababu hiyo wanatumia gmail.
Wapo mkoa gani?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom