Hongera sana mkuu kwa kutushirikisha kwenye ajira.Habari zenu
Future Group Company inashukuru kwa wale wote waliojitokeza kupiga Simu kwa Ajili ya Kesho 02-02-2018 kufika kwenye Usahili wa nafasi ya Salesman.
Kama umechelewa tafadhali tunaomba ututumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com zikitokea nafasi nyengine tutawasiliana..
Kama umechaguliwa usisahau Kufika na
1. Kopi ya Vyeti Vyako
2. Passport size 2
3. Kitambulisho Cha kupigia Kura au Kitambulisho cha Taifa au Pasi ya Kusafiria.
Asanteni Sana
Hutaki kazi?Haya mlioko karibu kazi kwenu
Pole sana, basi ninaomba mtujuzematapeli hawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeenda
Wizi mitaondaonikampuni inahusika na nini!?
[emoji102] [emoji101]Habari yako, Samahani kwa Usumbufu. Kwa kuwa walioomba kufika kwenye Usahili wa Kesho ni wengi. Hivyo basi kesho tutaanza na wachache, Wewe tunaomba tutakujulisha Siku nyengine ya Usahili. Kwa sasa tutumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com From: Future Group Company HR. Asante
Mmmh tupe feedbackmatapeli hawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeenda
Comrade, Umeadimika sana. Heri ya Mwaka.Hutaki kazi?
nimeenda hawana jipya yale yale ya forever bt nilipoogopa eti unatakiwa udeposit laki moja ili waweze kukupa mzigo halafu kila mtu kwenye intervew amepata kazi ila usiwaambie wenzako njeMmmh tupe feedback
Duuuh changamotonimeenda hawana jipya yale yale ya forever bt nilipoogopa eti unatakiwa udeposit laki moja ili waweze kukupa mzigo halafu kila mtu kwenye intervew amepata kazi ila usiwaambie wenzako nje
yap though nilienda kuzuga tu bt kuna vijana wataumia ila nimewajulisha kama 20 niliochukua namba zaoDuuuh changamoto
N'na machungu sana Inna.Yupo huku sana anatfuta tu wasichana
Hahaa pole san ndo kama hawa kina ivuga sioN'na machungu sana Inna.
Kuna ndugu zangu nimepoteana nao kitambo, Si kwamba hawapo. Wapo kwenye Majukwaa Pendwa. Hope siku nikipevuka basi nitawafuata huko-huko. Si unajua tena aliye Juu unamfuata huko huko?.
Ngoja niongee nae anitafutie mmoja, Nb; OLD soldiers train NEW soldiers.
Cc- Saint Ivuga .
Ahsante kwa kuni-adilisha Ndugu.Hahaa pole san ndo kama hawa kina ivuga sio
Usiende akufundishe huyo utapotea na mm staki kukupoteza wew ndugu yangu